Acts 28:26-27


26 a“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme,
“Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa;
na pia mtatazama, lakini hamtaona.”

27 bKwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu;
hawasikii kwa masikio yao,
na wamefumba macho yao.
Wasije wakaona kwa macho yao,
na wakasikiliza kwa masikio yao,
wakaelewa kwa mioyo yao,
na kugeuka nami nikawaponya.’

Copyright information for SwhKC